Klabu ya Borussia Dortmund imemfukuza kazi kocha wao Peter Bosz na sasa kocha wa klabu hio atakuwa aliyekuwa kocha msaidizi Peter Stoger.
Sosz ameondoka Borussia Dortmund baada ya mfululizo wa matokeo mabovu katika michuano ya ndani na nje.
Katika mechi 8 zilizopita za Bundesliga wamepata pointi 3 ikiwa ni toka mwanzoni mwa October wamefanikiwa kushinda mechi 1 tu ambayo ni dhidi ya Madgeburg inayoshiriki ligi daraja la 3, katika kipindi wamecheza mechi 13 kwenye mashindano yote.
Wiki hii mwanzoni waliondolewa kwenye michuano ya ulaya.


