Picha ya ‘UUME’ Wa 2 PAC imewekwa kwenye mnada tayari na Ex Wake,



Kama nilivyoripoti wiki mbili zilizopita kuwa Faith Evans aliyekuwa mke wa Notorious BIG alipinga vikali kuuzwa kwa picha ya UUME wa marehemu 2 Pac pamoja na mlango wenye matobo ya risasi kutoka kwenye gari lililopigwa risasi wakati wa mauwaji wa B.I.G.
Taarifa mpya zinasema Ex wa 2 Pac ameweka picha hio mnadani ikianza kwa bei ya dola $7,500 ambayo ni zaidi ya milioni 15 za Tanzania. Picha hii ilipigwa miaka ya 1990 kwenye House Party iliyofanyika Marin County.
Ex huyo anasema wakati anapiga picha hio alikuwa akimtishia 2 Pac kuwa nitapiga picha Uume wako kama hautajifunika, na alipiga picha hio, sasa miaka 27 baadae picha hii inauzwa.