WizKid kapata shavu kwenye album ya huyu msanii mkubwa Marekani

Msanii kutoka Nigeria ambaye mpaka sasa amefanikiwa kupenyeza kazi zake kwenye soko la Marekani na Ulaya WizKid amepata colabo kwenye album mpya ya rapa wa Roc Nation ‘Young Jezzy’.
WizKid atasikika kwenye wimbo mmoja katika album mpya ya “PRESSURE” ya rapa Young Jeezy na rekodi hio imetajwa kuitwa ‘The Life’ Ft WizKid na RnB Star Trey Songz.


Album inatoka December 15 2017