Jumamosi hii kampeni ya Mimi na Wewe imezidi kupamba moto kutoka kisiwani Zanzibar ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud

Akiwa katika Wilaya ya Magharibi A, Mkuu
wa Mkoa huyo ameendelea kushirikiana na wananchi wa sehemu hiyo kuendeleza madarasa ya Shule ya Msingi Sharifu Msa, ambapo yaliachwa kwa muda wa miaka kumi bila kuendelezwa.

Kampeni ya Mimi na Wewe ilizinduliwa Mwezi Mei 21 Mwaka huu na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu.