Skip to main content
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw. Edwin Novath Rutageruka kuwa Mkurugenzi wa TANTRADE.
Soma taarifa kamili:
JIUNGE NA VICEMWAI.COM SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Vicemwai.com!