STORI
Kwenye mahojiano na jarida la Interview nchini Marekani, staa wa HipHop mwenye ngozi nyeupe na ushawishi mkubwa Duniani Eminem amesema huwa ana rekodi takriban nyimbo 50 akiwa anatengeneza albam yake mpya ili kuweza kuchagua zipi zitakuwa kwenye album.

Album yake mpya ina wasanii kama Beyoncé, Alicia Keys, Ed Sheeran, Kehlani, imepewa jina Revival na itatoka Dec. 15. Picha ni Cover la album na orodha ya nyimbo.